MBUNGE MATIKO ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO ATOA MSAADA WAMIFUKO YA SARUJI 20 ANGALIA PICHA KATIKA MATUKIO TOFAUTI.

MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI CHADEMA KATIKATI ESTHER MATIKO AKIKABIDHI MIFUKO 20 YA SARUJI KATIKA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI NYANDO

SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO


MBUNGE AKISHAURI JAMBO KATIKA UJENZI WA CHOO SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO
MWALIMU MKUU SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI CHADEMA ESTHER MATIKO ALIPOTEMBELEA SHULE HIYO NA KUTOA MIFUKO 20 YA SARUJI.


MBUNGE AKIKAGUA MIUNDOMBINU YA MADARASA
MOJA YA NYUMBA YA WALIMU ILIYOKAA MIAKA 10 BAADA YA KUJENGW KWA  NGUVU ZA WANANCHI LAKINI SERIKALI IMESHINDWA KUMALIZIA NA SHULE YA NYANDOTO SEKONDARI INAKUMBWA NA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA NYUMBA ZA WALIMU.
MBUNGE AKISAINI KITABU CHA WAGENI
MBUNGE AKIMKABIDHI MWALIMU MKUU SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO JOHN MAGESA ALIYEVAA MIWANI

MAKTABA YA SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO
MBUNGE AKIKAGUA MAKTABA YA SHULE
MKURUGENZI MTENDAJI WA CLEO NEWS TZ  FRANKIUS CLEOPHACE AKIFANYA MAHOJIANO NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIMR MJINI ESTHER MATIKO BAADA TA KUTOA MSAADA WA SARUJI MIFUKO 20
MAHOJIANO NA DIWANI VITI MAALUMU CHADEMA KATA YA NYANDOTO MAMA  TEKRA JOANESS
MWALIMU MKUU SHULE YA SEKONDARI NYANDOTO JOHN MAGESA AKIFAFANUA CHANGAMOTO ZINAZOKUMBA SHULE YAKE.

PICHA ZOTE NA CLEO NEWS TZ

Powered by Blogger.