|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu
wa Shule ya Sekondari ya Iwawa ya Makete,
Novatus Msivala kwenda kufungua
madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. |
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua madarasa ya shule ya
Sekondari ya Iwawa iliyopo Makete Januari
21, 2017. |
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu
wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole
Sendeka (kulia kwake ) na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Njombe, Deo Sanga
kukagua maeneo ya shule ya sekondari ya Iwawa wilayani Makete baada ya kufungua madarasa ya shule hiyo
Januari 21, 2017. |
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari
ya Iwawa iliyopo Makete baada ya kufungua madarasa ya shule hiyo Januari 21, 2017. |
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia
wananchi wa Njombe wakati alipokagua
ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe katika eneo la Wikichi
katika Wilaya ya Njombe Januari 21, 2017. | | |
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu