Mradi huo ulikuwa ukilenga katika kata tano ambzo ni kata za
nyamwaga, susuni, matongo,sirari na sabasaba kwa lengo la kuwafikia wasichana
walioko katika shule za msingi na sekondari na
wasichana wasiokuwa mashuleni kupitia mpira wa miguu maigizo lengo ni
kubadili jamii ili kuondokana na mila potofuzilizopitwa na wakati, mradi huo umefungwa rasmi hii leo
katika ukukmbi wa blue sky mjini tarime kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali
wakiwemo wazee wa mila, viongozi wa dini, wasichana ambao ni wahanga wa
ukeketaji viongozi wa serikali, pia awali jamii iliwweza kupata elimu juu ya afya ya
uzazi na kuundwa timu kila kata katika kata 21 za kulinda mtoto.
| |