ULINZI NA USALAMA DC SERENGETI AKUTANA NA VIONGOZI.
Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu akitoa ufafanuzi wa mkutano
uliokutanisha watendaji wa vijiji,kata,maafisa tarafa,viongozi wa
dini,wazee wa mila,wakuu wa idara na kamati ya Ulinzi na Usalama,ambapo
amesema suala la ulinzi na usalama linatakiwa kupewa kipaumbele katika
wilaya hiyo.
Kwa upande wa wlimu kuwasaka waliowapa ujauzito wanafunzi 54 wa shule za msingi na sekondari,watoto ambao hawajaripoi sekondari na wazazi ambao hawajaandikisha watoto kuanza shule ya msingi wasakwe.
Katibu Tawala wilaya ya Serengeti Cosmas Qamara akisalimia wajumbe
Viongozi mbalimbali wakifuatilia mjadala kwenye ukumbi wa halmshauri ya wilaya ya Serengeti.
Utambulisho wa makundi hapo ni watendaji wa kata.
Kila mmoja akiandika mambo muhimu kama inavyoonekana
Wanafuatilia.
Mchungaji mstaafu wa KMT Wilson Machota akichangia mjadala
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Serengeti Juma Porini akielezea mikakati ya wilaya hiyo,kubwa akisisitiza masuala ya ulinzi na usalama kwa kuwa ndiyo msingi wa maendeleo.
Wanafuatilia mjadala.
HABARI KWA HISANI YA SERENGETI MEDIA CENTRE