TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABAZI ZA USALAMA BARABARANI JIJINI DAR.
Mkufunzi na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed
Foundation, Henry Bantu akitoa mada kwa waandishi wa habari
wanaohudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za usalama barabarani
yanayoendeshwa na Chama cha Waandidhi wa Habari Wanawake Tanzania TAMWA.
Na Joachim Mushi.
Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo Mkufunzi
na mtaalamu wa masuala ya usalama barabarani kutoka Safe Speed
Foundation, Henry Bantu akisisitiza jambo katika mafunzo hayo. Kushoto
ni Mkufunzi wa mafunzo hayo, Valerie Msoka. Ofisa
Miradi Mkuu wa TAMWA, Bi. Gradness Munuo (kushoto) akiwasilisha mada
kwa washiriki wa mradi wa kampeni ya kupambana na ajali za vyombo vya
moto barabarani. Kulia ni Ofisa Mradi wa TAMWA, Bw. Edson Sosten. Baadhi ya waandishi wa habari wanaoshiriki uandishi wa habari za usalama barabarani wakiwa katika mafunzo hayo Mafunzo hayo ya uandishi wa habari za usalama barabarani kwa waandishi wa habari yakiendelea.