Mama Janeth Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mke wa Rais wa Uturuki.
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akimueleza jambo Mke wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli Ikulu Leo Jijini Dar es Salaam.
|
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimkaribisha Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan Ofisini Kwake Leo Jijini Dar es Salaam.
|
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan baada ya kusaini kitabu cha wageni
Ofisini Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli.
|
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan.
|
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akimkabidhi
zawadi Mke wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan leo Jijini Dar es Salaam.
|
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli leo Jijini Dar es Salaam.
|
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akiongea na wageni alipotembelea ofisi za
Shirika la Maendeleo la Uturuki (TIKA) zilizopo Masaki Jijini Dar es Salaam.
|
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akiwa amekaa katika kiti cha kabila la
kigogo alipotembelea katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es salaam.
|
Mke
wa Rais wa Uturuki Mama Emine Erdogan akitoka katika moja ya nyumba ya kabila
la kigogo alipotembelea katika kijiji cha Makumbusho Kijitonyama Jijini Dar es
salaam.
PICHA NA HASSAN SILAYO |