BODABODA WATAKIWA KUFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI, ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA KUFUNGUA MAFUNZO HAYO

MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WILAYANI TARIME MKOANI MARA ANTHONY KAHEMA AKIFUNGUA RASMI HII LEO MAFUNZO YA USALAMA BARABARA ILI KUPUNGUZA AJALI NA KUWAJENGEA UWEZO   WAENDESHA PIKIPIKI BODABODA WILAYNI TARIME KATIKA UKUMBI WA SILVER HOTEL

MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI ANTHONY KAHEMA  AKISISITIZA JAMBO KWA WAENDESHA PIKIPIKI HAO

MKUU WA CHUO CHA UDEREVA WIDE INSTITUTE OF DRIVING MAKAO MAKUU KILIMANJARO FAUSTINE MATINA AKIONGEA NA WAENDESHA PIKIPIKI KATIKA MAFUNZO YALIYOFUNGULIWA HII LEO KWA LENGO LA KUWAJENGEA UELEWA WAENDESHA PIKIPIKI NA KUPATIWA VYETI ILI KUPATA LESENI




MKUU WA CHUO AKISISITIZA JAMBO KWA WAENDESHA BODA BODA HUSUSANI KUTUMIA KOFIA NA KUONDOKANA NA SUALA ZIMA LA KUBEBA MISHIKAKI.
BODABODA WAKISIKILIZA KWA MAKINI

MKUFUNZI MOSES STEWART AKIONESHA BAADHI YA PICHA ZA WATU AMBAO WAMEPATA AJALI KIPINDI AKIENDESHA MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI
MKUFUNZI MOSES STEWART AKISISTIZA JAMBO KATIKA MAFUNZO
ALPHONCE SIGFRID DANIEL MMOJA KATI YA WAKUFUNZI KATIKA MAFUNZO HAYO YALIYOFUNGULIWA HII LEO RASMI NA MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI WILAYANI TARIME MKOANI MARA
BODABODA WAKISOMA ALAMA ZA BARABARANI
ALAMA ZA BARABARANI
MWENYEKITI WA WAENDESHA PIKIPIKI BODABODA MARWA RIOBA MHECHI AKIONGEA NA WAENDESHA PIKIPIKI KATIKA MAFUNZO HAYO
MKURUGENZI MTENDAJI NA MMILIKI WA CLEO NEWSTZ FRANKIUS CLEOPHACE AKIFANYA MAHOJIANO NA WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO KATIKA MAFUNZO HAYO

PICHA ZOTE NA CLEO NEWST TZ KWA HABARI NAMATANGAZO PIGA SIMU NO 0766424928

Powered by Blogger.