Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa
akisalimiana na Wajasiriamali kutoka Mkoa wa Mwanza,ambao wanafanya bishara ya
mikoba na dawa asilia wakati
alipotembelea mabanda ya maonesho ya Biashara mbali mbali alipofungua
Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar katika viwanja vya Maisara Wilaya
ya Mjini Unguja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina
Salum Ali,[Picha na Ikulu.] 10/01/2017.
|