Picha: SHOW YA VODACOM WASAFI FESTIVAL SIKUKUU YA KRISMAS IRINGA
Usiku wa Dec 25, 2016 wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz,
Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka
Nigeria Kcee wameandika historia katika mkoa wa Iringa.
Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival imefanyika katika
uwanja wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali
palipofanyika tamasha hilo.