MBUNGE MATIKO ATEMBELEA WATOTO YATIMA SIKUKU YA CHRISMAS ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKIWA NA WATOTO KATIKA KITUO CHA KUIFADHI WATOTO YATIMA THE ANGEL HOUSE HALMASHAURI YA MJI WA TARIME |
MBUNGEA AKIWA NA WATOTO HAO |
MBUNGE MATIKO KUSHOTO AKIKABIDHI MBUZI KWA AJILI YA WATOTO WA KITUO HICHO ILI KUSHEREKEA SIKUKU YA CHIRISMAS |
BAADA YA KUKABIDHIWA MBUZI |
MTOTO WA MBUNGE AKIKABIDHI SODA KWA WATOTO WENZAKE. |
MTOTO WA MBUNGE KULIA AKIKABIDHI MAJI WATOTO WENZAKE |
MBUNGE AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WATOTO HAO |
MKURUGENZI MTENDAJI WA CLEO NEWS TZ FRANKIUS CLEOPHACE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WATOTO YATIMA KATIKA KITUO CHA KUIFADHI WATOTO HAO THE ANGEL HOUSE |
MBUNGE AKITETA JAMBO NA WATOTO |
MAJI SODA KWA PAMOJA NA WATOTO HAO |