ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA MKUTANO MKUU WA MWAKA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MARA MRPC.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MARA (MRPC) MUGINI JACOB AKISISITIZA JAMBO KATIKA MKUTANO MKUU WA MWAKA ULIOFANYIKA HII LEO KATIKA UKUMBI WA BWALO LA POLISI MJINI MUSOMA 

MWENYEKITI HUYO AMEDAI KUWA CHAMA KITAANZA KUTUMIA INTERNET KATIKA KUAZIMIA MASUALA YA CHAMA KWA LENGO LA KUPUNGUZA MATUMIZI YA FEDHA IKIWA NI PAMOJA NA KUENDELEZA CHAMA HUKU AKIWASII WAANDISHI WA HABARI KUFUATA MISINGI NA KANUNI ZA UANDISHI WA HABARI.
MAKAMO MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MARA MRPC SHOMARI BINDA AKIWASILISHA TAARIFA YA CHAMA

WAJUMBE WA MKUTANO HUO WAKISIKILIZA KWA MAKINI
KATIBU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI  MKOA WA MARA (MRPC) PENDO MWAKYEMBE  KUSHOTO AKIONGEA NA WAJUMBE KATIKATI NI MWENYEKITI MUGINI JACOBO NA WA KWANZA KULIA NI MAKAMO WAKE SHOMARI BINDA

MWENYEKITI WA MRPC KUSHOTO MUGINI JACOB  AKIWA NA MAKAMO WAKE KULIA SHOMARI BINDA


WAJUMBE WA MKUTANO WA MRPC WAKICHANGIA HOJA KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA HICHO.
PICHA YA PAMOJA
PICHA YA PAMOJA MWENYEKITI WA CHAMA NA MAKAMO WAKE WA KWANZA KUSHOTO NI NAIBU KATIBU MRPC BAADA YA KUCHAGULIWA HII LEO ASHA  SHABAN  NA WA KWANZA KULIA NI MAKAMO MWENYEKITI MRPC SHOMARI BINDA
MWENYEKITI WA CHAMA AKISALIMIANA NA MAKAMO WAKE
PICHA ZOTE NA CLEO NEWS TZ KWA MATANGAZO PAMOJA NA HABARI PIGA SIMU NO 0766424928
Powered by Blogger.