TAASISI YA ANSAF YAWANOA WADAU WA KILIMO KANDA YA ZIWA.
Katibu Tawala Msaidizi idara ya Uchumi
na Uzalishaji mkoani Mwanza, Joanen Kukwami akifungua mkutano wa wadau
wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili, jana
Novemba 03 na leo Novemba 04, 2016.
Mkutano huo uliandaliwa na Jukwaa la
Wadau wa Kilimo nchini ANSAF, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa
kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija katika mikoa ya Kanda ya Ziwa
ili familia ziweze kujikimu kiuchumi na kichakula.
Na BMG
Wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa
wakimsikiliza Katibu Tawala Msaidizi idara ya Uchumi na Uzalishaji
mkoani Mwanza, Joanen Kukwami wakati akifungua mkutano wa wadau wa
kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili, jana
Novemba 03 na leo Novemba 04, 2016.
Meneja Mradi wa Jukwaa la Wadau wa
Kilimo nchini ANSAF, Diana Lugano, akizungumza wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa
siku mbili, jana Novemba 03 na leo Novemba 04, 2016.
Wadau wa kilimo wakimsikiliza Meneja
mradi wa ANSAF wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kilimo
Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza.
Mratibu na Mchambuzi wa Sera na Bajeti
kutoka Jukwaa la Wadau wa Kilimo nchini ANSAF, Joseph Nyamboha,
akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika
Jijini Mwanza.
Mratibu na Mchambuzi wa Sera na Bajeti
kutoka Jukwaa la Wadau wa Kilimo nchini ANSAF, Joseph Nyamboha,
akiwasilisha mada kwenye mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa
unaofanyika Jijini Mwanza.
Jimmy Luhende ambaye ni Mkurugenzi wa
Taasisi ya Demokrasia na Utawala bora nchini, akizungumza kwenye mkutano
wa wadau wa Kilimo Kanda ya Ziwa.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza, akijitambulisha.
Washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza.
Washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza.
Washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza akichangia mada.
Mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza akichangia mada.
Picha ya pamoja
************************************************
Upungufu wa
maafisa kilimo pamoja na uuzaji wa mbegu zisizo na ubora katika mikoa ya kanda
ya ziwa umeelezwa kusababishwa sekta ya kilimo katika mikoa hiyo kuzorota.
Hayo
yalibainishwa jana Jijini Mwanza kwenye mkutano wa wadau wa kilimo uliolenga kujadili
namna bora ya kuboresha sekta hiyo.
Walisema
baadhi ya maafisa kilimo waliopo katika mikoa ya kanda ya ziwa kushindwa
kuwafikia wakulima na kuwapatia elimu ya kilimo husababisha kilimo kisicho na
tisha huku uuzaji wa mbegu za kilimo zisizoota ukikwamisha kabisa juhudi za
wakulima kulima zao hilo.