Shaban
shaban ni mratibu wa Mradi wa kupinga vitendo vya ukatiili wa kijinsia kutoka
shirika la Plan International akitoa Elimu hiyo katika shule ya Msingi Kiongera
na Sirari amesema kuwa wamaeamua kufikia Elimu hiyo kuopitia Michezo kwa lengo
la kuwanusuru watoto wa kike ambao wanakumbwa na changamoto ya Ukeketaji.
Aidha Shabani amesema kuwa mbali na kufikia
shule za msingi wanatarajia kuwafikia kufikia baadi ya shule za Sekondari ili
kufikisha Elimu hiyo huku wakiwafikia wasichana 900 kutoka Vijiji mbalimbali
kwa lengo la kutoa Elimu kupitia Michezo ili kupinga Ukeketaji na Ndoa za
Utotoni.
|