MAFUNDISHO YA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA KUONESHWA KWENYE KING'AMUZI CHA CONTINENTAL.
Usikose kufuatilia mahubiri na
mafundisho ya Mchungaji wa Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba
Ilemela Jijini Mwanza, Dkt.Daniel Moses Kulola (kulia), kwenye runinga
ya STAR RELIGION kupitia king'amuzi cha CONTINENTAL.
Ni kila jumapili saa moja jioni hadi saa
mbili usiku na jumanne saa tina na nusu alasiri hadi saa kumi na nusu
jioni kupitia kipindi cha Mlipuko wa Injili.
Na BMG
Maandalizi ya kipindi cha Mlipuko wa
Injili yakiendelea ambapo kulia ni Mchungaji Dkt.Daniel Kulola na
kushoto ni mwongozaji George Binagi
Kipindi hiki hukuletea mahubiri na mafundisho ya neno la Mungu yenye mwanga bora katika maisha yako
Ungana nasi kila jumapili saa moja jioni
hadi saa mbili usiku na jumanne saa tina na nusu alasiri hadi saa kumi
na nusu jioni kupitia kipindi cha Mlipuko wa Injili.