ILIVYOKUWA KWENYE KILELE CHA TIGO FIESTA 2016 JIJINI DAR ES SALAAM.
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard
Paul ‘Ben Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha la Tigo Fiesta 2016,
Imooooo, lililofanyika jumamosi Novemba 5,2016 Leaders Club Jijini Dar
es salaa.
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto) akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria,
Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo
Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
Ali Kiba kazini
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria,
Tekno, akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta
lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha hilo.