DC KUDILI NAWATENDAJI,WENYEVITI WAZEMBE WATAKAO SHINDWA KUSIMAMIA MAENDELEO MUSOMA




Baraza la madiwani katika halmashaur ya manispaa ya musoma limeadhimia uchangiaji wa maendeleo katika manispaa hiyo ikiwemo wadau mbalimbali pamoja na wananchi ikiwa lengo nikuziewezesha shule za kata kuwa za bweni nakuwajengea wanafunzi mazingira mazuri yakusomea nahata watoto wakike kuwaepusha namimba zisizo tarajiwa.


Wakizungumza katika kikao cha madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halamshauri hiyo kikiwa na lengo lakujadili miradi ya maendeleo pamoja na ufatiliaji katika kila kata wamesema nivyema wadau pamoja na wananchi wakahirikishwa kuweza kuchangia maendeleo.

alikuwa ni mhe; ISAAC CHACHA NG'ARIBA yeye nidiwani wa kata ya bweri alisema nivyema sasa ukafikia wakati wakufuta ujinga katika elimu kwa  manisapaa ya shule ikiwemo madiwani kuungana pamoja na viongozi wauma, vijiji,kata, na hata wilaya ilikuchangia maendeleo katika wilaya hiyo.

ISAAC akaenda mbali nakuomba uwepo wa sheria ndogo inayomtaka mwananchi kuchangia maendeleo ambae anaishi katika wilaya ya musoma ilikufanikisha lengo  lakuondoa kero mbalimbali zinazozikumba shule za sekondari za wilaya hiyo.

    ''inatakiwa wananchi wachangie maendeleo kwa wananchi wote wanaoishi musoma ilishule zote za musoma zijengwe na aambae hata changia nibora akachukuliwa hatua nakama hataki nibora aondoke musoma''
  
LUKASI KATIKIRO nidiwani wakata ya buhare yeye alipingana  na hali ya wananchi ambao hawatachangia basi kuondoka musoma na badala yake itolewe elimu kwa ajili ya wananchi hao.

wakati huo huo mkuu wawilaya ya musoma vicent naahano akaunga mkono swala hilo la wananchi kuchangia maendeleo na akatoa wiki mbili kumpa ratiba ya uchangishaji pesa hizo.

akiahidi kuwachukulia hatua viongozi pamoja nawatendaji watako shindwa kusimamia nakukwamisha maendeleo.

pia ilikuepusha tatizo la wanafunzi amba wamefaulu kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2017 walisisistiza kuwepo na madarasa mapya 31kujengwa katika shule za sekondai ikiwemo, nyasho,iringo,mwisenge,nyamitwebiri,buhare,mshikamano na kiara ambapo shule zingine zenye mapungufu, kamunyonge,nyamiongo,bweri na nyabisare.

mwaka 2016/2017huku zaidi ya shilingi 9586000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya ambapo hali mashauri hiyo imetenga jumla ya shilingi 100,ooo,ooo.oo kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa sekondari na msingi.

Aidha EXAVERY NTAMBALE akisoma tarifa ya mahitaji na mapendekezo ya ujenzi wa madara katika shule za sekondari na msingi kwamwaka 2016/2017  amesema idadi ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga kidato cha kwanza januari 2017,wako 3,443.



KATIKATI MEYA HALMASHAURI YA MANISPA YA MUSOMA WILIAM GUMBO NAKUSHOTO NI  MKURUGENZI WA MANISPA YA MUSOMA; ANGALIA NA BAADHI YA [PICHA KATIKA KIKAO HICHO CHA MADIWANI
Powered by Blogger.