ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KUHUSU UFUGAJI WA SAMAKI NA KAMPUNI YA MPANJU FISH KUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA MAONYESHO YALIYOANDALIWA NA MGODI WA UCHIMBAJI WA DHAHABU ACACIA NYAMONGO WILAYANI TARIME MKOANI MARA
MKURUGENZI WA KAMPUNI WA MPAJU FISH KUTOKA JIJINI MWANZA KATIKA MAONYESHO YALIYOANDALIWA NA MGODI WA UCHIMBAJI WA DHAHABUACACIA NYAMONGO, ERIPIDIUS MPANJU AKIONESHA JINSI YA KUFUGA SAMAKI. |
MKURUGENZI AKIONESHA CHAKULA CHA SAMAKI KATIKA MAONYESHO HAYO. |
AKIONESHA SAMAKI WAKIWA MAJINI |
AKIONESHA SAMAKI AMBAO WANAFUGWA NA KAMPUNI HIYO |