MBIO ZA TIGO IGOMBE CHARITY MARATHON MKOANI TABORA YAFANA.
|
Mtoa huduma Mwl Mwajuma Mwamba akiwasajili wanariadha mara baada ya
kumaliza mbio za Tigo Igombe Marathon zilizofanyika mjni hapa.
|
|
Mkurugrnzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya akizungumza na wanariadha
wa mbio za baiskeli kabla ya kuzindua shindano hilo.
|
|
Wanaridha wakiwa tayari kusubiria kipyenga cha Tigo Igombe Charity
Marathon
|
|
Vijana wa mkoa wa Tabora wakishindana kukimbia wakati wa mashindano ya
Tigo Igombe Charity Marathon yaliyofanyika jana mjini hapa.
|