ANGALIA PICHA ZA MATUKIO MGODI WA ACACIA WAKABIDHI SHULE ZA MSINGI MBILI NA SEKONDARI MBILI,NYAMWAGA SHULE YA MSINGI,GENKURU SHULE YA MSINGI,GENGE SEKONDARI NA BWIREGE SEKONDARI
| MKUU WA WILAYA YA TARIME GLORIOUS LUOGA AKIKATA UTEPE KATIKA SHULE YA SEKONDARI GENGE KIJIJI CHA NYAKUNGURU KATA YA KIBASUKA |
| WAKIWA KATIKA SHULE YA MSINGI NYAMWAGA |
| WAKIKAGUA SHULE HIZO KABLA YA KUKABIDHIWA |
| BAADHI YA SHULE ZA MSINGI NYAMWAGA NA NYUMBA ZA WALIMU ZILIZOKARABATIWA NA MGODI WA ACACIA NA KUJENGWA |
| MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIKAGUA MAJENGO HAYO KABLA YA KUKABIDHIWA RASMI. |
| WANAFUNZI SHULE YA MSINGI NYAMWAGA |
| KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME EMMANUEL JONSON AKITOA SHUKRANI |
| MKUU WA WIUKAYA YA TARIME LUOGA AKIONGEA NA WALIMU PAMOJA NA WAKAZI WA NYAMWAGA BAADA YA KUPOKEA MAJENGO HAYO |
| MKUU WA WILAYA YA TARIME AKISALIMIANA NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI NYAMWAGA |
| MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKISALIMIANA NA DIWANI WA KATA YA KIBASUKA ROYCE MANYATA |
| WAKIKATA UTEPE KATIKA SHULE YA SEKONDARI GENGE KIJIJICHA NYAKUNGURU KATA YA KIBASUKA |
| MADAWATI |
| AFISA MAHUSIANO MGODI WA ACACIA ZAKAYO KAREBO AKIONGEA NA KIONGOZI WA KIJIJI CHA NYAKUNGURU DIWANI WA KATA YA KIBASUKA NA DC TARIME |
| MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKIKATA UTEPE KATIKA SHULE YA SEKONDARI BWIREGE AMBAPO WAMEJENGA VYUMBA VYA MADARASA 8 NYUMBA ZA WALIMU 03 NA MATUNDU YA VYOO 18 |
| MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI BWIREGE |
| KAIMU MKURUGENZI AKISAINI KATIKA KITABU CHA WAGENI SHULE YA SEKONDARI BWIREGE |
| WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI BWIREGE |
| MKUU WA WILAYA AKIWA KATIKA MOJA YA DAWATI AMBAYO YAMETOLEWA NA MGODI WA ACACIA |
| AFISA MAHUSIANO MGODI WA ACACIA ZAKAYO KAREBO KULIA KATIKATI MKUU WA WILAYA YA TARIME AKIFUATIA KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA WIALAYA YA TARIME EMMANUEL JONSON |