ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA MIKUTANO YA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE
WATOTO WAKISIKILIZA MBUNGE |
MBUNGE AKITETA JAMBO NA KATIBU WAKE ZABRON MRIMI |
MBUNGE AKIONGEA NA WANACHI. |
WAZEE WAKISIKILIZA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJI AKITEMBELEA SHULE YA MSINGI IRAMBA ILIYOPO KIJIJI CHA KANGALIANI NA KUTOA MIFUKO50 YA SARUJI NA KUHAIDI BATI 130 |
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIONGEA NA WANACHI WA KIJIJI CHA KANGALIANI KATA YA ITIRYO |