ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA MKUTANO WA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO

MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKIONGEA NA WANANCHI WA TARIME.
MBUNGE AKIREJEA KWENYE MKUTANO
MBUNGE AKIMUSIKILIZA MMOJA WA WAZEE
MBUNGE AKIMUSIKILIZA MWANANCHI


MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKISALIMIANA NA DIWANI WA KATA YA KITARE
DIWANI WA KATA YA KITARE KULIA AKITETA JAMBO NA DIWANI WA KATA YA TURWA ZAKAYO CHACHA WANGWE.
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI KULIA ESTHER MATIKO AKITETA JAMBO NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE
MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE KULIA AKISALIMIANA NADIWANI WA KATA YA KITARE KASUKU
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME LUCAS NGOTO AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA HALAMASHAURI YA MJI WA TARIME NA DIWANI WA KATA YA SABASABA HAMIS NYANSWI
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME LUCAS NGOTOAKISALIMIANA NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHH HECHE
MWENYEKITI AKISALIMIANA NA DIWANI WA KITARE KASUKU
MWENYEKITI CHADEMA WILAYA YA TARIME AKISALIMIANA NA DIWANI WA KATA YA TURWA ZAKAYO CHACHA WANGWE
DIWANI WA KATA YA KITARE KASUKU AKISALIMIANA NA WANACHI WA MJI WA TARIME
DIWANI WA KATA YA TURWA ZAKAYO CHACHA WANGWE AKIONGEA NA WANANCHI MJI WA TARIME
KATIBU WA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI ZABRON MRIMI AKIONGEA NA WANANCHI WA MJI WA TARIME
KATIBU WA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI PETER MAGWI AKIONGEA NA WANANCHI WA MJI WA TARIME
MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA YA TARIME LUCAS NGOTO AKIONGEA NA WANANCHI WA TARIME MJINI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOANDALIWA NA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI MATIKO

WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO


MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MJI WA TARIME HAMIS NYANSWI AKIONGEA NA WANANCHI WA TARIME MJINI

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA MARA MWL CHACHA HECHE AKITETA JAMBO BA MWENYEKITI WA CHADEMA WILAYA  YA TARIME LUCAS NGOTO


MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIONGEA NA WANANCHI WA MJI WA TARIME KATIKA MKUTANO WA HADHARA

MBUNGE WA JIMBO LA TARIME MJINI ESTHER MATIKO AKONGEA NA WANANCHI HII LEO KATIKA MKUTANO WA HADHARA KWENYE VIWANJA VYA SHAMBA LA BIBI MJINI TARIME

Powered by Blogger.