ANGALIA PICHA ZA MBUNGE WA JIMBO LA TARIME VIJIJINI JOHN HECHE AKIKABIDHI MADAWATI.
MBUNGE AKISISITIZA JAMBO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI NA WASIMAMIZI WA MADAWATI HAYO. |
SHUGHULI YA UTENGENEZAJI WA MADAWATI INAVYOENDELEA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME MKOANI MARA |
MAGARI YAKISOMBA MADAWATI HAYO ILI KUPELEKA SHULE HUSKA |
BAADHI YA MADIWANI WAKIWA ENEO LA UTENGENEZAJI WA MADAWATI HAYO. |