ANGALIA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA TUSIMAME IMARA KWAYA YA SIRARI GWITIRYO.K
MGENI RASMI MWL DORICA PHILIMON AKIZINDUA RASMI ALBAMU HIYO. |
NRATIBU WA MIRADI AKICHANGISHA FEDHA. |
MGENI RASMI AKISOMA NENO LA BWANA. |
KATIBU WA KWAYA AKIONESHWA JAMBO NA MOJA YA MUTUMISHI MWENZAKE. |
MRATIBU WA MIRADI KATIKA KANISA HILO AMOS KERARYO AKISALIMU WAUMINI KATIKA HARAMBEE HIYO. |
MGENI RASMI AKIKATA UTEPE |
KWAYA YA WASABATO SIRARI GWITIRYO WAKIZINDUA RASMI ALBAMU YA TUSIMAME IMARA YENYE NYIMBO 10 |
KWAYA YA REBU IKITUMBUIZA KABLA YA KUZINDULIWA RASMI ALBAMU HIYO |
MGENI RASMI AKIKATA UTEPE MWL DORICA PHILIMON. |