MRPC WAMPONGEZA MWENYEKITI WA CCM RORYA.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MARA MRPC JACOB MUGIN AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE JANA. |
Chama cha waandisi wa habari mkoani Mara MRPC Kimempongeza Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Rorya Mkoani Mara kulingana na jutihada ambazo
amekuwa akitoa kwa vyombo vya habari ili kufanikisha malengo yaliyokusudiwa.
Pia Chama hicho pia kimechukua hatua za kuwashukuru wadau
mbalimbali walioshiriki kufanikisha harambee ya kuchangia
mfuko wa chama ili kusaidia kukamilisha malengo mbalimbali
ya maendeleo ikiwemo kuwaunganisha wanachama katika mifuko
ya Bima ya Afya ya jamii.
Chama cha waandishi wa habari mkoani Mara wamewapongeza wale
wote ambao walifanikisha zoezi hilo akiwemo mwenyekiti
wa Chama cha mapinduzi wilayani Rorya Samweli Keboye (namba
3) kwa kudhamini waandishi wahabari kwa kutoa mchango wake
kufanikisha harambee hiyo.
Akizungumza na wanahabari wenzake Ofisini kwake mwenyekiti
wa Chama cha waandishi wa habari mkoani Mara MRPC,Jacob Mugini
alisema kuwa Chama chake kinathamini michango ya
Wadau waliojitokeza kuunga juhudi za chama katika kuchangia
na kuwaunganisha katika mifuko ya jamii ya bima ya Afya na
kuondoa usumbufu uliokuwepo kwa wanachama kutumiwa ujumbe
mfupi wa sms punde moja wao anapougua.
Mugini alichukua nafasi hiyo kumpongeza mwenyekiti wa CCM
Wilaya Rorya Samweli Keboye kwa kujali waandishi wa habari
pamoja na wadau wengie kujitokeza kwa michango yao na
kufanikisha mchakato wa kuwaunganisha katika Mifuko ya
jamjii ya bima ya Afya.
Aidha Mgini waliwataka wadau mbali mbali wa habari kutoa
ushirikiani kwa waandishi wa habari kwa kuzingatia kuwa
waandishi wanamchango mkubwa kwa jamii na kuonya kuwa
wanasiasa wasitumie waandishi wa habari kwa manufaa yao bila
kujali mchango walionao katika Jamii.
Naye mwenyekiti wa CCM Rorya,Samweli Keboye aliwataka
wanahabari kuandika habari kwa kuzingatia maadili na taaluma
waliyo nayo kwa manufaa ya Taifa.
“Wanahabari saidieni juhudi za Rais wetu katika kutumbua
majipu na bila wanahabari kuandika juhudi hizo ambazo
zinazofanywa na Rais John Pombe Magufuli za kutumbua
majipu jamii isingejua kuwa serikali inafanya kazi kwa hali
hiyo nitaendelea kuwaunga mkono katika kazi zenu za
maendeleo”alisema Keboye.

wake takilbani 26 katika mifuko ya Afya ya jamii kwa lengo
la kupata matibabu.