Leo ni siku ya kupinga uvutaji wa tumbaku Duniani.
Imedaiwa kuwa watu milioni 6 duniani hufa kila mwaka kwa sababu ya
kuvuta tumbaku, huku watu laki 6 huathirika kila mwaka kutokana na kukaa
karibu wa wavuta tumbaku,,,,so take care kukaa karibu na wavuta
tumbaku. pia wavuta ugoro jihadharini sana