ANGALIA PICHA ZA MATUKIO KATIKA MASHINDANO YA JOEL CUP YALIYOMALIZIKA HII LEO KATIKA SHULE YA SEKONDARI SIRARI.
| MGENI RASMI AKIKABIDHI KOMBE LA USHINDI BAADA YA MASHINDANO HAYO |
| PICHA YA PAMOJA WA KWANZA NI MUDHAMINI WA MICHEZO HIYO JOEL MWITA KATIKA KATI NI MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI SIRARIJONATHAN MASAMBU. |