Wafuasi wa CHADEMA Tarime wa wawasha mishumaa kulinda mabango ya mgombea urais kupitia UKAWA

Picha ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tarime Mjini wakiwa katika ulinzi wa mabango ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA katika eneo la jembe la Nyundo huku wakiwa wamewasha mishumaa ni jana majira ya saa mbili usiku ambapo mgombea huyo anatarajia kurejea hii leo majira ya saa nane mchana katika viwanja vya Serengeti mjini Tarime Mkoani Mara.

Powered by Blogger.