Mmoja kati ya wananchi kata ya Nkende katika mkutano wa hadhara akifikisha ujumbe kwa mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha mapinduzi CCM Michael Kembaki kuonesha kuwa akina mama wanahitaji kubwa kuhusu Zahanati ili waweze kujifungulia sehemu salama kwa ajili ya Afya zao. |