PICHA YA NAIBU KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TAIFA AKIONGEA NA WAKAZI WA MJI MDOGO WA SHIRATI KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA JANA KWENYE VIWANJA VYA OBWERE MJI MDOGO WA SHIRATI WILAYANI RORYA MKOANI MARA.