PICHA YA WAFUASI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MJI MDOGO WA SHIRATI WILAYANI RORYA MKOANI MARA WAKICHEZA MZIKI HUKU WAKIWA WAMESHIKILIA MABANGO YA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM JOHN POMBE MAGUFULI