Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza Jana wakati wa kuomba wadhamini nafasi hiyo ikiwa sehemu ya kukamilisha sheria za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 nchini kote.