Picha ya Mbunge wa jimbo la Rorya Lameck Airo wa pili kutoka kushoto akielekea ofisi za Mbunge zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa ajili ya kuchkua fomu ya Seriikali ya uteuzi wa kuwania jimbo la Rorya