Picha ya Waziri wa kazi na ajira Gaudensia Kabaka akikata utepe katika kampeni za kupinga ukeketaji, Ndoa  za utotoni zilizozinduliwa jana katika viwanja vya Tarafa ya Inchugu kata ya Sirari Wilayani Tarime Mkoani Mara chini ya Usimamizi wa Jukwaa la utu wa Mtoto(CDF) kwa kushirikiana na Mashirika Mengine kikiwemo chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA)
Powered by Blogger.