Wazee wa Mila Tarime tulikuwa tunasimamia Ukeketaji lakini kwa sasa tume...



Mwenyekiti
wa Wazee wa Mila Muungano wa koo12 Wilayani Tarime mkoani Mara Nchagwa
Mtongori akitoa Elimu kwa Wananchi wa kijiji cha Kitenga, na Kwisalala
kata ya Bumera.

Wazee hao wamedai kuwa hapo awali walikuwa
wakisimamia suala la  Ukeketaji kwa Mtoto wa kike lakini kwa sasa baada
ya kupatiwa Elimu na Serikali kupiga Vita Suala hilo wameungana kwa
pamoja na kuanza kupita katika koo12 ili kutoa Elimu na Madhara ya
Ukeketaji ikiwa ni pamoja na Kuondoa Miiko inayokandamiza Mtoto wa Kike
ambaye hajakeketwa.

Mwita Nyasibora Mzee wa Mila Koo ya butimbaru akitoa Elimu kwa jamii Madhara ya Ukeketajhi na Miiko ambayo wazee wameondoa.

Abel
Gechaine ambaye ni Mratibu wa Huduma ya Afya na Ustawi wa Jamii Wilaya
ya Tarime akifafanua  juu ya Madhara ya Mwanamke aliyekejketwa wakati wa
kijifungua na kuwataka Wananchi kusomesha Watoto wa Kike.

Sister
Stella Mgaya ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la ATFGM Masanga
akifafanua jinsi shirika linavyozidi kutetea Mtoto wa kike hasiweze
kukeketwa bali apelekwe shuleni.

Wananchi wakiwa katika Mkutano wa hadhara

                            Maombi


,,,Tazama Video hapa chini kupata habari Kamili...,,,
Powered by Blogger.