Wazazi na Walezi Tarime watakiwa kusomesha Mtoto wa Kike



Mwl
Rhoda Amollo ambayeni Mratibu Elimu kata Nyandoto Halmashauri ya Mji
wa Tarime Mkoani Mara akiongea na wananchi katika Mkutano wa hadhara
ulioandaliwa na Wazee wa Mila Muungano Koo12 kwa lengo la kutoa Elimu
juu ya kupiga Vita Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike ambapo wazazi na walezi
wametakiwa kusomesha Watoto wa kike badala ya kuwakeketa.


Wazee
wa Mila Koo ya Busweta wakiwa katika Kikao hicho kilichofanyika katika
Shule ya Msingi Gamasara Kata ya Nyandoto Mjini Tarime.





Mwenyekiti Mila Muungano wakoo12 Wazee wa Mila Nchagwa Mtongori akitoa Elimu juu ya Msuala ya Maadili katika Jamii.

Wangubo Mtongori Mzee wa Mila kutoka Koo ya Bukira akitoa Elimu kwa Wananchi hao.

Elias
Maganya Kutoka Koo ya Bukenye akitoa Elimu na baadhi ya Miiko ambayo
wameondoa wao kama Wazee wa Mila koo zote 12 kupitia Vikao vyao
wanavyofanya.


Mwenyekiti
wa Mtaa wa Mnagusi Wandwi Ryoba akiomba Wazee wa Mila kuondoa Sheria
ambazo wamekuwa wakiweka pamoja na Miiko kipindi cha Tohara kinapoanza.

Mwita Nyasibora kutoka Koo ya Butimbaru akitoa Elimu kwa Wananchi kuhusu Madhara ya Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike.

Sister
Stella Mgaya ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la ATFGM Masanga wanaopiga
Vita Suala la Ukatili wa Kijinsia Ukiwemo Ukekewtaji kwa Mtoto wa Kike
akitoa Elinmu kwa jamii ambapo amesisitiza suala la Malezi kwa wazazi
kulea vyema watoto wao kuanzia Utotoni.

Abeli
Gichaine ambaye ni Mratibu wa huduma ya Afya Wilaya ya Tarime akieleza
Madhara anayopata Mwanamke ambaye amekeketwa wakati wa Kijifungua.


....Tazama video hapa Chini.....
Powered by Blogger.