Viongozi wa CCM Tarime Wafunguka baada ya Kutoka Kuripoti Polisi leo



Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Tarime Mkoani Mara Daud Marwa Ngicho
akiongea na Wanachama katika Ofisi za Chama hicho baada ya kutoka
Kuripoti Polisi na Kamati ya Siasa.



Wanachama Wa CCM Wakisiliza Mwenyekiti wa Chama hicho baada ya Kutoka Kuripoti Polisi hii leo

Hii hapa Barua iliyokuwa inawataka viongozi wa CCM Wilaya ya Tarime Kuripoti hii leo katika Kituo cha Polisi Tarime Rorya.

,,,,Tazama Video hapa Chini Walichosema baada ya Kutoka Polisi,,,,
Powered by Blogger.