Shirika la CDF Tarime watoa Mafunzo juu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana
Kambibi
Kamugisha ambaye ni Mkuu wa Miradi Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto
CDF Tarime akitoa Mafunzo Juu ya Afya ya Uzazi na Ukatili wa Kijinsia
kwa Vijana 29 kutoka kata Tano ambazo ni Binagi, Komaswa,
Pemba,Regicheri na Mbogi
Vijana hao wamepatiwa Mafunzoi ya Siku
Mbili katika Ukumbi wa Silver Hotel Mjini Tarime Mkoani Mara ambapo
Mafunzo hayo yameandaliwa na Shirika la CDF Chini ya Ufadhili wa Umoja
wa Ulaya( EC) Pamoja na Shirika la Maendeleo la Sweden.
Lengo
la kuwapatia Elimu vijana haoili waweze kuwa mabalozi Wazuri katika
kufikisha Elimu hiyo Kwa Jamii inayowazunguka kutoka katika kata hizo.
Elimu ikiendelea kutolewa.
....Tazama Video hapa Chini kupata habari Kamili.....