Serikali waunda Kamati ya Ulinzi wa Mama na Mtoto Tarime
Washiriki
wa Semina kwa Viongozi wanaounda kamati ya Ulinzi wa Mama na Mtoto
dhidi ya kupinga Ukatili wa kijinsia wakiendelea na Mafunzo katika
Ukumbi wa MCN Mjini Tarime.
Serikali imeunda kamati hiyo ya
Ulinzi wa Mtoto Ngazi ya Wilaya ambayo inasimamiwa na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Tarime Apoo Castro Tindwa ambaye ni Mwenyekiti
wa kamati hiyo
Kabla ya kuunda kwa kamati hizo wahuska
wamepatiwa Semina ya ili kuongeza Uelewa katioka Masuala ya Ukatili wa
Kijinsia kwa lengo la kunusuru Mama na Mtoto dhidi ya Ukatili wa
Kijinsia
Kamati
hiyo inawashirikisha Viongozi wa Dini, Wazee wa Mila, Maofisa Ustwai na
Maendeleo ya Jamii, Watoto, watu wa Elimu pamoja, Watu Wenye Ulemavu,
na Jeshi la Polisi.
Mafunzo
hayo yamefadhiliwa na Shirikala la Jukwaa la Utu wa Mtoto CDF Tarime
huku wakishirikiana na Serikali ya Mkoa katika kutoa Elimu hiyo kwa
Kamati iliyoundwa.
Majadiliano katika Vikundi
,,,,,Tazama Video hapa Chini kupata habari Kamili,,,,