Mwenyekiti CCM Mara Kiboye atembelea Kijana aliyejenga Hoteli juu ya Mti...



Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye akingea baada ya
kukabidhi Kijana Matiko Michael Kiasi cha Shilingi Laki tatu ili
kuendeleza ubunifu wake anaofanya baada ya kujenga hoteli juu ya mti

Hii
ndiyo hoteli aliyojenga Juu ya Mti na kijana Matiko Mkazi wa Mtaa wa
Nyamihutwa kata ya Nyamisangura Mjini Tarime Mkoani Mara.



Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samwel Kiboye akiongea na Vyombo vya habari baada ya kusaidia Kijana huyo.


Matiko akipokea Kiasi cha Shilingi Laki tatu kutoka Kwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara.


Mwenyekiti akimpongeza Mama Mzazi wa Matiko ambaye kwa sasa anafyatua tofari kwa ajili ya Ujenzi wa Makazi yake.


Mwenyekiti akionysha jinsi alivyokuwa akicheza Ngumi kipindi cha Ujana wake.




              ..Tazama Video alichokisema hapa....
Powered by Blogger.