Wadau Tarime kwa kushirikiana na TGNP Mtandao waweka Mikakati ya kupinga Ukatili wa Kijinsia
Afisa Programu Kutoka Shirika la TGNP Mtandao Deogratias Temba akiwasilisha Mikakati itokanayo na Mpango wa Taifa wa kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa Watoto na Wanawake 2017-2022. |
hicho kilichofanyika Kwenye Ukumbi wa NK Mjini Tarime kimeshirikisha
watu wa Dawati Polisi, Moafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii,
Mahakimu na Shirika la ACT na ATFGM Masanga ambao wanatekeleza Mradi
huo.
Afisa Programu Kutoka Shirika la TGNP Mtandao Deogratias Temba akiwasilisha Mikakati hiyo kwa Wadau wa kupiga vita ukatili wa kijinsia katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. |
Mratibu
wa Mradi wa kupinga Ukatili wa kijinsia Roselyne Mossama kutoka
Shirika la ACT Dayosisi ya Tarime, Kituo cha Maendeleo ya Kilimo
Mogabiri akiwasilisha Mafanikio katika Mradi huo pamoja na Changamoto na
nini kifanyike
Esther
Igogo Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Tarime
akitoa mapendekezo ili kutokomeza Ukatili dhidi ya Mtoto ambapo amesema
kuwa kuna haja kubwa ya serikali kujenga vito vya kuifadhi wahanga wa
ukatili wa kijinsia wakiweno Watoto.
Abel
Gichaine akichangia nini kifanyike hususani kwa vijana ambao
wanafanyiwa tohara ambayo siyo salama kuwa nao wanafanyiwa Ukatili suala
hilo linapaswa kuangaliwa kwa jicho la Pili.
Boniface shimbe Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Sirari akitoa Mchango wake
Siwema
Sylivester ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii akitoa Mchango wake ambapo
amepongeza Jeshi la Polisi na Mahakama kutokana na Ushirikiano wao baina
yake na Halmashauri huku akipongeza Mashirikalikiwemo Shirika la TGNP
Mtandao kwa kuendelea kuwajengea Uwezo juu ya kupiga Vita Ukatili wa
Kijinsia.
Picha ya pamoja
Tazama Video hapa Chini kupata habari kamili.