TRA Mara watoa Msaada wa Bidhaa kwa taasisi 13 ikiwemo Hospitali, Shule ...
| Kaimu Meneja TRA Mkoa wa Mara Edson Edwin Issanya akikabidhi msaada wa Chumvi kwa mwakilishi wa moja ya taasisi kati ya taasisis13 zilizopatiwa msaada huo wa bidhaa ambazo zimekuwa zikikamnatwa katika kituo cha Forodha Sirari baada ya wafanyabiashara kukiuka taratibu.. |
| Kaimu Meneja TRA Mkoa wa Mara Edson Edwin Issanya akikabidhi msaada wa mafuta ya kupikia. |
| Bidhaa zilizotolewa na TRA Mkoa wa Mara katika Mpaka wa Tanzania na Kenya Sirari hii leo ni pamoja na Mafuta ya kupikia, Sabuni, Chumvi, Biskuti, Mchele, Sukari, |
| Kaimu Meneja TRA Mara amesema kuwa bidhaa hizo zilizogawiwa kwa taasisi hizo ni zile ambazo zimekuwa zikikamatwa kwa kukiuka Taratibu na kanuni pamoja na zile ambazo zinapita njia za panya Magendo. |
Shukrani sana.
| Baadhi ya viongozi waliowakilisha taasisi hizo 13 zilizopatiwa msaada wa bidhaa. |
| Kaimu Meneja TRA Mkoa wa Mara Edson Edwin Issanya akionghea na wawakilishi wa Hospitali za Wilaya na Mkoa wa Mara ambao pia nao wamepatiwa msaada huo. |
PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS.
| Tazama Video hapa chini kupata habari kamili. |