Tanesco Mara waendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kwenye Miradi ya REAII-Densificatio.
| Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Mkoa wa Mara James Vesso akitoa Elimu katika Mradi wa REA II-Densification kwa wananchi wa Nyamwaga Wilayani Tarime Mkoani Mara Elimu hiyo ni pamoja na Matumizi ya kifaa cha UMETA. |
| Kifaa cha Umeme tayari UMETA kinachouzwa na Tanesco kwa kiasi cha shilingi 36,000 tu. |
| Monica Massawe Afisa Mkuu Masoko TANESCO Makao Makuu akiota Elimu juu ya matumizi sahihi ya Umeme wa REA awamu ya II |
Monica akieleza Jinsi ya kuwasha Swichi.
Monica Massawe Afisa Mkuu Masoko TANESCO Makao Makuu akionyesha taa zinazofaa kwa matumizi ya kwaida.
| Moja ya taa inayotumia umeme Mwingi sana. |
Idrisa Mtonda Meneja TANESCO Wilaya ya Tarime akiongea na Wananchi wa Nyamwaga.
| Idrisa Mtonda Meneja TANESCO Wilaya ya Tarime akieleza umuhimu wa kitambulisho kwa wafanyakazi wa Tanesco ili kuepuka Vishoka. |
| Ukaguzi wa Majengo katika Shule ya Sekondari JK Nyamwaga. |
| Baadhi ya Wananchi wakiuliza Maswali. |
| Wananchi wakipatiwa Vipeperushi. |
Massawe Afisa Mkuu Masoko TANESCO Makao Makuu akiota Elimu juu ya
matumizi sahihi ya Umeme kupitia kifaa cha Umeme tayari yaani UMETA kwa
wananchi wa Kitongoji cha Nyamatagito kijiji cha Nyamwigura kata ya
Binagi Wilayani Tarime Mkoani Mara.
| Kifaa cha Umeme tayari yaani UMETA. |
| Wakazi wa kitongoji cha Nyamatagito kijiji cha Nyamwigura kata ya Binagi wakipatiwa Elimu juu ya matumizi sahihi ya Umeme wa REA awamu ya pili |
| Meneja TANESCO Wilaya ya Tarime akitoa Elimu kwa Wananchi. |
| Wananchi wa kijiji cha Nyamatagito kata ya Binagi Wilayani Tarime Mkoani Mara wakiuliza Maswali. |
| Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Mkoa wa Mara James Vesso akiota Elimu kwa wananchi hao. |