Shirika la Right to Play latoa Mafunzo kwa Maofisa Elimu kata na Wathibi...
Maofisa
Elimu kata na Wathibiti Ubora wa Shule Wilayani Serengeti Mkoani Mara
wakipatiwa Elimu ya Ufundishaji kwa njia ya Michezo ili waweze kutoa
Elimu hiyo kwa walimu katika shule za Msingi jambao ambalo limechangia
ufaulu mkubwa kati ya shule zilizopewa mradi huo kupitia Shirika la
Right to Play.
| Elimu inaendelea kutolewa. |
| Vifaa vinavyotumika kufundishia kwa vitendo. |
| Wakiwasilisha kile walichojifunza kwa vitendo. |
| Michezo ya kuongeza ufahamu katika Hesabu. |
| Mwalimu Magige Chambiri ambaye pia ni Mkufunzi Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mkoani Mara akitoa somo kwa Washiriki wa Mafunzo hayo. |
| Mwalimu Magige Chambiri ambaye pia ni Mkufunzi Chuo cha Ualimu TTC Tarime Mkoani Mara akitoa somo kwa Washiriki wa Mafunzo hayo. |
| Mmoja wa washiriki akionyesha Mbinu za Ufundishaji. |
| Picha zote na CLEO24NEWS. |
| Mwezeshaji kutoka Shirika la Right to Play Leah Kimaro akitoa somo kwa Washiriki hao. |
| Eva William Mthibitu Ubora wa Elimu Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara akiwasilisha Mpango kazipamoja na Mikakati iliyowekwa ili kutumika katika ufundishaji pamoja na Mbinu mbalimbali baada ya kupatiwa mafunzo hayo ya Siku mbili yaliyoandaliwa na shirika la Right to Play nakufanyika katika Ukumbi wa Kanisa Roman Catholic Serengeti. |
| Idd Ramadhani ambaye ni Afida Mradi kutoka Shirika la RIGHT TO PLAY akifafanua jambo katika mafunzo hayo ambapo amesema kuwa Wamefikia shule 50 za Msingi katika Wilaya ya Serengeti na Shule 16 Tarime kwa kuwapatia Elimu Walimu 200 na wanatarajia kuwafikia walimu zaidi ya 800 kwa lengo la kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa Shule za Msingi baada ya kutoa Elimu ya Mbinu za Ufundishaji kupitia Michezo. |
| Mayige Makoye Afisa Michezo Wilaya ya Serengeti akisisitiza jambo katika Mafunzo hayo. |
Changamoto za elimu kwa kikosi maalum kinachounda na waratibu elimu na
Wadhibiti Ubora wa Elimu wilaya yaSerengeti Mkoa wa Mara ambao
watahusika na kuelimisha walimu ufundishaji kwa kutumi njia ya Michezo
shuleni.
Mmoja wa washiriki akiwasilisha kazi za kikundi
Washiriki wakiendelea na kipindi.
Wanafuatilia mada
Afisa Mradi wa RIGHT TO PLAY kutoka shirika la Right To Play Mkoa wa Mara Idd Ramadhani akiendelea
na kazi wakati wa Mafunzo ambayo yameshirikisha Waratibu Elimu na
Wathibiti Ubora wa Elimu na Afisa Michezo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara.
Sophia Chamuliho Mratibu elimu kata ya Mugumu akiwasilisha kazi ya vikundi
Burudani za hapa na pale zilikuwepo
Uwasilishaji.
| Picha ya pamoja. |