Halmashauri ya Rorya wapitisha bajeti zaidi ya Bill 38 mwaka wa fedha 20...

Makamu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Rojas Akuku akiongea
katika Baraza la Madiwani la kujadili na kupitisha bajeti ya mwaka wa
fedha 2018-2019.
Madiwani wakiwa katika baraza hilo ambapo wamepitisha zaidi ya Billioni 38 mwaka wa fedha 2018-2019.
Diwani wa kata ya Mukoma Lazaro Kitori akichangia hoja katika baraza hilo.
Diwani wa Viti Maalum CHADEMA Pendo Odere akichangia hoja katika Baraza hilo.
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Dominick Ndyetabura akijibu hoja za Madiwani.
Tazama Video Diwani wa kamati huska akiwasilisha bajeti ya Halmashauri ya Rorya.
Powered by Blogger.