Tazama Video, Zakayo Chacha Wangwe na Viongozi waliohamia CCM Wafunguka ...

Zakayo
Chacha Wange ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Turwa CHADEMA akiongea
katika kikao cha UVCCM Tarime jana na kukabidhiwa rasmi kadi ya CCM
baada ya kuhamia ndani ya chama hicho ambapo amefunguka vikali

pamoja na Viongozi wengine akiwemo Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Paschal Maswi Tazama video hapa Chini.

Zakayo akikabidhiwa rasmi kadi ya CCM jana.


Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Paschal Maswi akiongea katika Kikao hicho.
 
Tazama Video hapa chini  walivyofunguka.

Powered by Blogger.