Kijana wa Chacha Wangwe Zakayo ahamia CCM Kutoka CHADEMA ambaye alikuwa...
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Turwa Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara Zakayo Chacha Wangwe kupitia chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akionyesha waandishi wa habari barua rasmi ya kujiuzulu Udiwani katani kwake na kuamua kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM. |
Barua iliyoandikwa na aliyekuwa Diwani wa kata ya Turwa Zakayo Chacha Wangwe. |
Aliyekiuwa Diwani wa kata ya Turwa kupitia CHADEMA Zakayo Chacha Wangwe akiongea na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Goldland Mjini Tarime. |
Waandishi wa Habari wakiwa kazini. |
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Tarime Hamis Mkaruka Kura akiotoa Shukrani zake kwa Zakayo baada ya kupokelewa rasmi CCM. |
PICHA ZOTE NA CLEO24NEWS. |
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI ALICHOKISEMA ZAKAYO CHACHA WANGWE.