Mwenge wa uhuru wazindua kiwanda cha kukamua mafuta ya alizeti Tarime

Mkurugenzi
wa kampuni ya ISAACK AND SONS Josephat Isaack Mwita akimwonesha
kiongozi wa mbio za mwenge  kitaifa Amour Hamad Amour jinsi kiwanda cha
Kukamua Mafuta ya Alizeti kilichopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara
ni jinsi gani  kinavyofanya kazi baada ya kukizindua rasmi.
                       TAZAMA VIDEO KUJUA LENGO LA KIWANDA HICHO.

Powered by Blogger.