Piter
Magwi katibu wa Mbunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko tiketi ya
CHADEMA akiongea na wanachi wa Mji wa Tarime kuwambia ni kitu gani
kimefanyika kuanzia Marchi hadi Augost Mwaka huu katika Mkutano wa
hadhara
TAZAMA VIDEO USIKIE KILICHOFANYIKA KUANZIA MARCH HADI AUGOST MWAKA 2017.