VIDEO:MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APONGEZA UJENZI WA KIWANDA CHA...
Mkurugenzi wa Kiwanda cha Chaki Arwa Investment Thobias Raya akimweleza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani jinsi kiwanda kinavyofanya kazi
Mkuu wa Wilaya ya Tarime Glorious Luoga akihamasisha watumishi wa Serikali kuimba Wimbo kwa ajili ya mapokezi ya Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tarime Rashid Bugomba kushoto akiteta jambo na katibu wa CCM Wilaya ya Tarime
Wawekezaji wa kiwanda Cha Sukari kinachotarajiwa kujengwa Tarime ambapo eneo hilo la kiwanda Makamu wa Rais amelitembelea
Makamu wa Rais akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Kiwanda cha kutengeneza Chaki Arwa Investment Mjini Tarime
Makamu wa Rais akisalimiana na Mjumbe wa NEC Wilayani Tarime Mkoani Mara Christopher Gachuma
Kiwanda cha Kutengeneza Chaki kilichopo Halmashauri ya Mji wa Tarime kinachomilikiwa na ARWA INVESTMENT Kabla akijawekewa jiwe la Msingi na Makamu wa Rais
PICHA ZOTE NA CLEO24 NEWS UKIWA NA HABARI MATUKIO PAMOJA NA MATANGAZO PIGA SIMU NAMBA 0766424928.
TAZAMA VIDEO YA MAKAMU WA RAIS BAADA YA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA KIWANDA CHA KUTENGENEZA CHAKI