Video na Picha katika Matukio Makamu wa Rais Mh: Samia Suluhu Hassan akemea Uvuvi haramu Mkoani Mara na kupongeza ujenzi wa Mradi wa Maji katika Manispaa ya Musoma.





Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongea na Wananchi Manispaa ya Musoma Mkoani Mara katika Viwanja vya Mkendo ambapo ameitimisha hii leo ziara yake Mkoani Mara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan akisalimian na Wananchi alipotembelea Mradi wa Maji katika Manispaa ya Musoma.




Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt Vicent Naano akisoma Taarifa ya ujenzi wa Mradi wa Maji unaojengwa Bukanga Manispaa ya Musoma.


Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akiongea na Wanachi katika viwanja vya Mkendo Manispaa ya Msoma.



Baadhi ya Mitambo inayosukuma Maji katika Mradi wa Maji unaendelea kujengwa Bukanga.









                                            Ziwa Victoria

 Tazama Video Makamu wa Rais Mh: Samia Suluhu Hassan akemea Uvuvi haramu Mkoani Mara awataka kamati ya ulinzi na usalama kusimamia vyema suala hilo  na kupongeza ujenzi wa Mradi wa Maji katika Manispaa ya Musoma.


Powered by Blogger.